Menu
Jake Chapman, utangazaji wa kujitolea wa ICA na Bonham katika Peace One Day

Mradi wa sanaa wa Peace One Day 2012 ulikuwa ni ufanisi wa kipekee, ulichangisha karibu paundi £450,000 na viwango vya kipekee vya ufahamisho kuhusu kazi ya Peace One Day mnamo mwaka 2013. Kwenye mradi wa sanaa unaofuata tunatumai kuendeleza juu ya ufanisi huu kwa manufaa ya Siku za Amani zijazo.

Ufahamisho wa Siku ya Amani huunda hatua, na hatua hiyo huokoa maisha – mtoto hataonewa, mwanamke hatapigwa, bunduki haitafyatuliwa. Jumuia bunifu inao wajibu mkuu wa kutekeleza na sauti ambayo inaweza kusikilizwa, kwa kutumia ushawishi wao ili kusaidia kuongeza ufahamisho na kuchangisha fedha.

Mnamo mwaka 2014, tukisaidiwa tena na msanii wa kisasa anayeongoza aitwaye Jake Chapman, tunawaomba wasanii kutumia bunduki za mashambulizi za M16 zisizotumika katika kuunda kazi yao ya sanaa, hivyo basi kuendeleza hadithi ya kuchukua vifaa vya vita na kuvitumia kwa kuunga mkono amani.

Monyesho haya yamethibitishwa kuwa yatafanyika kwenye Taasisi ya Sanaa ya Kisasa katika wiki ya Freize kuanzia mnamo siku ya Jumatatu Oktoba 13 hadi Ijumaa Oktoba 19 huku mnada ukifanyika Bonham mnamo Alhamisi Oktoba 16.

Kwa taarifa zaidi kuhusu mradi wa sanaa wa Peace One Day 2012: