Menu

Kauli ya Kusudio

Ili kujifunza zaidi kuhusu kampeni ya Peace One Day katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na eneo la Maziwa Makuu la Afrika, tafadhali angalia waraka wa Kauli ya Kusudio wa kampeni hapa chini.

Kwa nini amani inahitajika nchini DRC?

‘Watu wanaokadiririwa kuwa milioni 5.4 wamekufa kutokana na vita na athari zake nyemelezi tangu mnamo mwaka 1998. licha ya kukoma rasmi kwa vita hivi  mnamo Disemba mwaka 2002, takriban Wakongo 500,000 wameendelea kufa kila mwaka.’

Kamati ya Uokozi ya Kimataifa

 

Mgogoro katika nchi ya DRC umesababisha miaka mingi ya kutokuwa na utulivu katika sehemu zote mbili nchi pia eneo pana zaidi la Maziwa Makuu. Kutokuwepo na amani kumesababisha familia kuhamishwa, kumeongeza kuwepo kwa magonjwa, na kuzuia vijana kuweza kufikia elimu.

Lakini amani inawezekana...

Mara kwa mara Siku ya Amani imethibitisha kuwa ndiyo kichapuzi cha ushirikiano na ujengaji wa- amani na, kama ilivyoonyesha kule Afghanstan, inaweza kutoa fursa kwa jumuia zilizo na mahitaji, na kuwawezesha watu na mashirika kutekeleza shughuli za kuokoa-maisha kwenye siku hii usika.

Tafadhali bingiriza chini ili kujifunza zaidi kuhusu kazi za Peace One Day katiaka eneo hili, zikiwemo filamu, picha na taarifa zaidi kuhusu washirika na wanachama wetu wa mseto.

Ili kujifunza mengi kuhusu DRC, tafadhali bofya hapa: 

Nani Tunafanyakazi Nao
Wanachama mseto wa Peace One Day nchini DRC
Great Lakes region trip - May 2014
DRC na Rwanda - Aprili 2014
Tafrija ya Amani - Februari 2014
Uhabeshi – Januari 2014
Kambi ya IDP Muganga 1, DRC Mashariki
Kuunganisha watu kwa Siku ya Amani
Mazungumzo ya Amani 6 (PEACETALK 6)
Uonyeshaji wa filamu ya Chuo Cha Mwanga (Collége Mwanga)
Utaridhia Amani na Nani?