Menu

Kwa msaada wa Skype, Peace One Day iliweza kuunda Rasilimali ya Elimu ya kote Ulimwengu ya Peace one Day iliyoangazia mipango ya vipindi 15 shirikishi, vinavyowalenga wanafunzi vinavyochunguza masuala kama vile kutokuwa na uonevu, Umoja wa Mataifa, uendelezaji wa amani wa zaidi - kwa kutumia Siku ya Amani ya Septemba 21 kama lengo. 

SkypeTalks (Mazungumzo ya Skype)

Mradi wa Mazungumzo ya Skype wa Peace One Day unatumia programu gunduzi ya Skype pamoja na hifadhidata yake saidizi, Skype ndani ya darasa, ili kuwezesha Jeremy kuzungumza na wanafunzi katika madarasa ulimwenguni kote, kuhamasisha kizazi cha vijana kwa kuunga mkono Siku ya Amani. Jeremy amekuwa na Mazungumzo ya Skype na wanafunzi katika zaidi ya nchi 50 zikiwemo Lesotho, Venezuela, Uchina, Ukrania na nyingine nyingi.

View Gallery
Skype in the Classroom (Skype ndani ya Darasani)

Si tu Jeremy ambaye anatumia Skype kwa njia hii, walimu wanatumia zana hii ya ajabu katika kuunganisha wanafunzi wao madarasani kote ulimwenguni, wakiwafunza kuhusu tamaduni tofauti, ushirikiano wa kati ya tamaduni na amani. 

PeaceTalks (Mazungumzo ya Amani)

Kwa taarifa zaidi kuhusu mradi wa Mazungumzo ya Amani ya Peace One Day ushirikiano na Skype, bofya hapa:

Skype for Peace (Skype kwa Amani)

Skype kwa Amani ulikuwa uanzilishi uliofadhiliwa na umati na uliobuniwa kuruhusu watu binafsi kuchangia moja kwa moja katika lengo la kutengeza idara ya Rasilimali ya Elimu ya Ulimwenguni kote bila malipo katika kila darasa ulimwenguni kote. Asante kwa kila mtu aliyechangia:

Kwa kupata kujua zaidi kuhusu uanzilishi huu: