Menu
Uganda: Katika Mtazamo

Idadi ya watu mnamo 2011 (inakadiriwa, 000)34,509

Eneo - 241,038 sq km

Uwezekano wa uhai wakati wa kuzaliwa (wanawake na wanaume, miaka) 55.4 / 53.8

Jumlaya Mapatoya Kila Mwaka (US$)*  19.88 Billion
 
Mpangiliowa Kiolezo Cha Maendeleoya Binadamu ** 161 (kati ya 186)
 
 

 

 

 

 

 

Chanzo: UN Data, *World Bank ni **UNDP

WANACHAMA WA MSETO WA PEACE ONE DAY NCHINI UGANDA

Mseto wa Shirika Lisilokuwa la Kiserikali 

Mseto wa 'Kupunguza Ukatili Nyumbani'

Msetowa Wanafunzi

UZINDULIWAJI WA SIKU YA AMANI 2013

African Youth Peace Initiatives (Uanzilishi mbali mbali wa Amani wa Vijana wa Kiafrika) 

Mwanachama wa Mseto wa Shirika lisilokuwa la kiserikali

Uanzilishi wa Amani wa Vijana wa Kiafrika ni shirika lisilokuwa la faida linaloangazia vyanzo asilia vya ukatilina athari zake miongoni mwa jumuia kupitia katika kuimarisha miradi inayotokana na jumuia katika elimu, afya, mazingira na kilimo. Hali hii inatekelezwa kupitia katika kufanya uchunguzi, kuwawezesha vijana kuwa na mbinu za kazi na kusaidia miradi mbali mbali kwenye jumuia kote nchini Uganda na eneo pana zaidi la  maziwa makuu.

Uanzilishi wa Amani wa Vijana wa Kiafrika uliadhimisha siku ya Amani 2013 kupitia kwa msururu wa shughuli ikiwemo mechi ya Siku Moja Lengo Moja kati ya wajumbe wa serikali ya manispaa na wanachama wa mashirika wa jumuia ya kiraia, maombi ya amani kutoka katika mseto wa madhehebu, upandaji miti, maonyesho ya redio, msafara wa amani kupitia kati kati ya jiji na ulikuwa na mziki  densi na maonyesho ya kuigiza, pamoja na Warsha ya Kimaeneo ya mazungumzo kuhusu Amani, Mdahalo wazi uliowaleta pamoja washikadau kuweza kuzungumzia maswala makuu yanayozungukia Amani.