Menu
DRC kwa Mtazamo
Idadi ya watu mnamo mwaka wa 2011 (inakadiriwa, 000)  -  67,758
 
Eneo – kilomita mraba 2,344,858
 
Uwezekano wa kuishi wakati wa kuzaliwa (wanawake na waume, miaka) 50.6 / 47.3
 
Jumla ya Mapato ya kila Mwaka (US$)* - Dola Bilioni 17.27
 
Mpangilio wa Kielezo wa Maendeleo ya  Kibinadamu** - 186 (kati ya 186)
 
 

Chanzo: UN Data, *World Bank & **UNDP

Taarifa Kuu

‘Watu wanaokadiriwa kuwa milioni 5.4 wamekufa kutokana na vita na athari zake nyemelezi tangu mnamo mwaka wa 1998. licha ya kumalizika rasmi kwa vita mnamo  Disemba mwaka 2002, takriban Wakongo 500,000 wameendelea kufa kila mwaka.’

 

Kamati ya Uokozi ya Kimataifa

Kwa taarifa zaidi kuhusu historia ya DRC tafadhali angalia umbo la nchi kwenye BBC.

Ukatili Utokanao na Jinsia

'Takriban wanawake milioni 1.69 hadi 1.8 wameripotiwa kuwahi kubakwa katika maisha yao na takriban wanawake milioni 3 hadi 3.3 wameripotiwa kupitia katika utakili wa kijinsia kutoka kwa wapenzi wao kibinafsi.'

 

Chanzo: ‘Makadirio na Maamuzi ya Ukatili wa Kijinsia dhidi ya  wanawake katika Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo’ kupitia Maktaba ya Kitaifa ya Marekani ya Madawa

 

'Zaidi ya watu 5,000 walibakwa kule Kivu Kusini mnamo mwaka wa 2009, kulingana UN.'

 

Chanzo: Oxfam International

Wakimbizi

Watu Waliohamishiwa Ndani  (IDPs): 2,607,407

 

Zaidi ya Wakongo 16,000 walivuka mpaka hadi Uganda kufikia mwisho wa Oktoba mnamo mwaka wa 2013 kukimbia vita vilivyokuwa Mashariki mwa DRC.

 

Chanzo: UNHCR

Bofya hapa chini ili kupata taarifa rasmi ya UNHCR kuhusu DRC ya mnamo Februari 2014:

Elimu
Elimu Date Measurement

Uwiano wa jumla wa uandikishwaji katika shule ya msingi-sekodari (wanawake/waume kwa kila 100)*

2006-2012 60.2 / 76.7

Wanafunzi wa kike wa kiwango-cha tatu (% ya jumla)*

2006-2012 23.6

Mgawo wa wanafunzi (walio na umri kati ya 5-17) ambao ni Nje ya watoto wanaoenda shuleni (% ya jumla)**

2012 28.9
Hesabu ya jinsia ya watoto walio Nje ya shule  walio na umri kati ya 5-17 (wanawake/waume %)** 2012 52.7 / 47.3 

Kadirio la Wanaojua kusoma (wake/waume %)***

-- 52 / 80

Chanzo: *UN Data, **UNICEF & ***UNESCO

Afya
2011 DRC Regional Average Global Average

Uwezekano wa Kuishi wakati wa Kuzaliwa (miaka) – jinsia zote

49 56 70

Uwezekano wa kuishi kufikia umri wa miaka 60 – jinsia zote

15 16 20

Idadi ya vifo (kwa kila 1000 wanaozaliwa hai) – jinsia zote

168 107 51

Vifo vya watu Wazima (uwezekano wa kufa wakiwa na umri kati ya 15-60 kwa kila 1000)

Male 411 362 190
Female 358 317 129

Kadirio la vifo wakati wa kujifungua (kwa 100,000 wanaozaliwa hai)

540 480 210

Chanzo: World Health Organization - DRC Country Profile

Eneo la Maziwa Makuu

Bofya kwenye bendera kwa taarifa zaidi:

Rwanda

Uganda

Tanzania

Burundi

 

Kenya