Menu

Burundi: Katika Mtazamo

Idadi ya watu mnamo mwaka wa 2011 (ilikadiriwa, 000) 8,575

Eneo - 27,834 sq km

Uwezekano wa uhai katika wakati wa kuzaliwa (wa kike na kiume, miaka) 52.6 / 49.6

Jumla ya Mapato ya Kila Mwaka (US$)* - Dola Bilioni 2.472
 
Mpangilio wa Kiolezo Cha Maendeleo ya Kibinadamu ** 172 (kati ya 186)

 

Chanzo: UN Data, *World Bank na **UNDP

Mseto wa Wanachama wa Peace One Day Nchini Burundi

Mseto wa Shirika Lisilokuwa la Kiserikali

Mseto wa 'Kupunguza Vurugu ya Nyumbani.’ 

  • Association Communautaire Pour la Promotion et la Protection des Droits de l'Homme (ACPDH)

Mseto wa Wanafunzi

Uzinduliwaji wa Siku ya Amani 2013

United Nations Office in Burundi - BNUB (Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Burundi) 

Kwenye Siku ya Amani ya mnamo mwaka wa 2013 katika sherehe iliyofanyiwa Isale, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa nchi ya Burundi,  Parfait Onanga-Anyanga aliitisha amani na kutokuwa na-vurugu kwenye msimu wa uchaguzi mkuu uliokaribia wa 2015 na kutilia mkazo kujitolea kwao katika kudumisha amani kwa mada ya Elimu kwa Amani. Ilifuatwa na sherehe ambayo mwenyekiti wake alikuwa Waziri wa Umoja, Haki za Kibinadamu na Jinsia na ilijuumuisha ziara ya kituo cha vijana kijijini.

Kwa taarifa zaidi tafadhali bofya hapa

 


Christian Outreach Relief and Development - CORD (Msaada wa Kikristo wa Uelimishaji na Maendeleo ) 

Siku Moja Lengo Moja

Mwito wa CORD ni kuwa mshirika kamilifu wa amani barani Afrika na Asia kwa kufanyakazi katika jumuia zilizoathiriwa na mgogoro wa ukatili na umaskini, kuendeleza uwezo wa washirika ili kujenga amani endelevu.

Kwenye Siku ya Amani ya mnamo mwaka 2013, CORD iliadhimisha siku hii kwa mechi ya Siku Moja Lengo Moja jijini Bujumbura kwenye mkoa wa Vijijini.

Kwa taarifa zaidi kuhusu CORD bofya hapa.